Error message

  • Deprecated function: implode(): Passing glue string after array is deprecated. Swap the parameters in drupal_get_feeds() (line 380 of /home/baisikel/public_html/includes/common.inc).
  • Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in menu_set_active_trail() (line 2344 of /home/baisikel/public_html/includes/menu.inc).

About Us

Kuna watu zaidi ya million 5 jangwani mwa sahara katika Afrika ambao hupokea pato lao la kila siku kupitia baiskeli. Wengi wao badala ya kutumia pato lao kujiendeleza hutumia pato hilo mara kwa mara kwa urekebishaji wa baiskeli zao. Soko la baiskeli katika eneo hili limejaa vipuli vya hali ya chini ambavyo huagizwa kutoka nchi zingine na kupelekea wenye baiskeli kufanya biashara zisizoleta faida.

Baiskeli ugunduzi inalenga kuwezesha kuweko kwa vipuli vya baiskeli vya hali ya juu kitaaluma wote wale ambao wanapunjwa kupitia vipuli vya bandia vinavyoagizwa kutoka bara Asia. Tunafanya kazi na mafundi wa baiskeli pamoja na mashirika ya bodaboda kuratibu na kuunda  na kusambaza vifaa vya hali ya juu vya baiskeli ili kuwezesha kuwepo kwa baiskeli za kudumu na kuimarisha maisha ya wanaofanya bodaboda, matarishi na wote wanaotumia baiskeli kwa usafiri katika jangwa la sahara Barani AfriKa.

Ungependa kujua zaidi kuhusu Baiskeli Ugunduzi ?
Ungependa kupokea uvumbuzi mkumbwa wa baiskeli bora?

Ungependa kuekeza katika baiskeli ugunduzi?
Ungependa kuwa mshirika katika Baiskeli Ugunduzi ?

Tafadhali wasiliana nasi kupitia “Mawasiliano yetu” au tuma barua pepe kwa  Yohana kupitia (john@baiskeliugunduzi.com)