Social Business

Baiskeli ugunduzi ni biashara ya kijamii maana yake lengo lake ni kuleta watu pamoja na sio kutafuta faida kubwa. Kwa hivyo utapata ya kwamba mishahara ya wanaosimamia biashara hii ni ya wastani kusudi faida iweze kugawanyiwa wote wanaohudumu katika biashara hii ya baiskeli ugunduzi kwa minajili ya kuboresha maisha ya kila mmoja.