Mission
Kazi yetu ni kuwa kielelezo kwa utoazi wa vifaa vya baiskeli zinazofanya kazi katika jangwa la sahara. Sisi twajitahidi kutambulika katika eneo hili lote kama wafadhali, waelimishaji na watetezi wote wanaochuma kupitia baiskeli
- Bidhaa zote na biashara yoyote ambayo baiskeli ugunduzi inafanya lazima ionyeshe mwelekeo ufuatayo
- Iwezeshe kifedha
- Iwe na kipimo
- Ionyeshe uwezo wa kuimarisha maisha ya waendeshaji wa Baiskeli
- Ionyehe uwezo wakuimarisha mafundi wa baiskeli
- Haiwapunji wateja au wanaouza vifaa vya baiskeli kifedha
- Inatia motisha na kuwezesha juhudi za wahusika katika eneo
- Inawemzesha uhusiano bora wa kijamii, kimazingira, kiuchumi na matokeo yake yathibitike kwa kila jamii